Habari.
Colman Ltd
company(CLC).... Tunajihusisha na uchimbaji wa visima vya maji virefu na
vifupi kwa gharama nafuu. Visima vya maji kwa matumizi mbali
mbali,kama;
1.kilimo cha umwagiliaji
2.matumizi ya nyumbani
3.biashara
n.k
Pia Tunajihusisha na;
kufunga pampu.
kusafisha visima
matengenezo na ukarabati wa visima pamoja na pampu.
survey ya maji
ushauri kuhusu visima vya maji.
Tunapatikana:
➖0653-96 34 50
📧➖ewaldcolman@gmail.com
➖Kigamboni,dar es salaam,Tz.
Whatsapp 🏾0653963450
Instagram 🏾visima_vyetu
Facebook 🏾 visima vyetu
Twitter 🏾 visima vyetu
Website 🏾www.visimavyetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment